TAARIFA MUHIMU KWA UMMA:VYUO NA PROGRAMU ZILIZOZUILIWA KUDAHILI WANAFUNZI WA MWAKA WA MASOMO 2017/2018


TAARIFA KWA UMMA
VYUO NA PROGRAMU ZILIVYOZUILIWA KUDAHILI
WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA KWA MWAKA
WA MASOMO 2017/18



Kutokana na ukaguzi uliofanyika September na October mwaka Jana (2016) kupima ubora wa elimu inayotolewa na vyuo vikuu nchini .Tume iliweza kubaini mapungufu mbali mbali kwenye vyuo vikuu vingi hapa nchini .Hivyo basi Tume imefikia maamuzi ya kuvifungia vyuo 19 na programs 75 kwenye vyuo vikuu tofauti tofauti nchini.

01.VYUO VILIVYOFUNGIWA UDAHILI MWAKA WA MASOMO 2017/18 NI HIVI VIFUATAVYO;

1. Eckenforde Tanga University
2. Jomo Kenyatta University, Arusha
3. Kenyatta University, Arusha
4. United African University of Tanzania
5. International Medical and Technological University (IMTU)
6. University of Bagamoyo
7. St. Francis University College of Health and Allied Sciences
8. Archibishop James University College
9. Archibishop Mihayo University College
10.Cardinal Rugambwa Memorial University College
11.Kampala International University Dsm College
12.Marian University College
13.St. Johns University of Tanzania Msalato Centre
14.St. Johns University of Tanzania, Marks Centre
15.St. Joseph University College of Engineering and Technology
16.Teofilo Kisanji University
17.Teofilo Kisanji University Tabora Centre
18.Tumaini University, Mbeya Centre
19.Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMCo)

Aidha, kutokana na mapungufu katika vyuo mbalimbali imeamriwa
kwamba jumla ya programu 75 kutoka vyuo 22 nchini zimesitishwa
kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo
2017/18.
Aidha Tume inapenda kusisitiza kwamba, uamuzi huu hautawahusu
wanafunzi wanaondelea na masomo katika programu na vyuo husika

No comments:

Post a Comment